Pages

Monday, April 15, 2013

WIZI WA MAHINDI MASHAMBANI WAANZA MANISPAA YA SONGEA

Askari wa Usalama Barabarani akimuongoza raia kuvuka barabara eneo la Soko Kuu karibu na Benk ya NMB kuelekea Mtaa wa Delux leo mchana. (Picha  na Juma Nyumayo)

Pilikapilika katikati ya mji wa Songea leo. Mji ambao hivi sasa unakabiriwa  na wizi wa  Mahindi kutokana na bei ya unga kupanda kuliko bei ya Unga wa Ngano. Sembe kilo moja ni Shilingi 1, 200/= hadi 1, 500/=
Pichani  juu Mwendesha pikipiki maarufu kama YeboYebo akipatana na abiria wa kumsafirisha wakati huu ambao Nauli za Daladala zimepanda toka Sh. 300/= hadi 400/=
Malalamiko ya wizi wa mahindi yametokea katika kata za pembezoni mwa Mji wa Songea kama vile Mshangano, Subira,  na Mwengemshindo (Picha na Juma Nyumayo)

No comments:

Post a Comment