Pages

Thursday, April 11, 2013

Waandishi wanapokutana kupitia kazi zao kwa maendeleo ya jinsia

Bw. Juma Nyumayo akifurahia uwasilishaji wa  Kazi za kiutafiti kuhusu Afya za uzazi na huduma za vituo vya afya, nchini za  Mwandishi Gordon Kalulunga wa Mbeya (hayupo pichani) ambaye ni mmiliki wa Blogu ya kalulunga.blogspot.com,  katika Ukumbi mmojawapo wa  Hoteli ya Blue Pearl, Ubungo Plaza Jijini Dar es Salaam  katika mashindano ya kazi za kiuandishi zilizoendeshwa na Gemsat Tanzania kwa Ushirikiano wa genderlinks kuhusu SADDC GENDER PROTOCOL hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment