Pages

Sunday, April 14, 2013

HII NDIYO KALI ZAIDI, HUENDA WATAMUONESHA KABULI LAKE ALILOZIKWA MIAKA MINNE ILIYOPITA


 
Mwanamke anayedaiwa kufariki miaka mitano iliyopita (katikati)

MJI wa Geita na maeneo ya jirani juzi ulikumbwa na taharuki ya aina yake, pale mwanamke ambaye anadaiwa kwamba alifariki miaka mitano iliyopita alipoonekana akiwa hai katika  familia yake. 
Chanzo Mwananchi

No comments:

Post a Comment