Pages

Thursday, August 16, 2012

Majimaji yajengewa uzio

Kaimu Muhifadhi Kiongozi wa Makumbusho ya Taifa ya Mashujaa wa Majimaji Songea, Balthazar Nyamusya (Kulia) akimkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Said Thabit Mwambungu alipotembelea makumbusho hayo kwa maraq ya kwanza tangu ateuliwe kuwa mkuu wa Mkoa huo, nyuma ya Mwambungu ni Chief wa wangoni,  Emmanuel Xavery Zulu Gama.
Makumbusho haya sasa yanajengewa uzio, yanapendeza kwelikweli. Hongera Shirika la Makumbusho ya taifa kwa kazi nzuri inayosimamiwa na Bw. Balthazar Nyamusya hapa Songea.

1 comment:

  1. Hakika ni habari ya furaha kwa wanaruvuma na watanzania wote..

    ReplyDelete