Pages

Saturday, March 24, 2012

Kama naanza vile!



Ndugu wapendwa ni kitambo sijawapatia vile vitu mwavitaka. Hii ilitokana na matatizo ya hapa na pale ya ki- technolojia lakini nimekwisha weka mambo sawasawa.
Nimewakosa sana wasomaji wa nje kama kina Yasinta Ngonyani na Prof. Mbele na wenzao huko majuu na wewe msomaji mpendwa hapo ulipo katika anga za hapa nchini, barani Afrika, Asia, Ulaya, Marekani na kwengineko. Naahidi kufanya mabadiliko makubwa tuombeane uzima.

2 comments:

  1. Ni kweli kamuda kapitili mlongo..kama kila kitu kipo safi basi ndo furaha yaetu..pamoja daima!!!

    ReplyDelete
  2. Kama unvyoona, Dada Yasinta nami tunachungulia hapa jikoni kwako muda wote. Niko Dar kwa sasa, naomba uendelee kutuletea za kunyumba. Nilitamani nifike hadi huko Songea, lakini inaonekana majukumu yatanizuia.

    ReplyDelete