Pages

Friday, February 18, 2011

KINDAMBA NAMLIA MTANGAZAJI ANAYECHIPUKIA

Bw Kindamba Namlia (Pichani) Mtangazaji anayechipukia na kupendwa sana na wasikilizaji wa Jogoo FM- Songea Radio inayopasua mawimbi hadi Msumbiji. hata hivyo Kindamba naandika haya hapa chini kama wito kwako:
MIMI Kindamba naomba ushirikiano na wasikilizaji na wadau wa JOGOO FM- SONGEA Radio changa inayoleta changamoto za kimaendeleo ya Kiuchumi, Kijamii na Kiutamaduni mkoani Ruvuma na mikoa ya jirani kama Mbeya, Njombe, Morogoro, Iringa na Katavi pia kule Rukwa bila kusahau Msumbiji.
utangazaji unachangamoto nyingi. naishukuru Blog ya Jamii ya wanaRuvuma kwa kazi nzuri.
Maneno hayo ni ya Kindamba alipofika Ofisini kwangu leo. nami nampa shavu kwa kibarua alichokianza hapa Songea.
(Juma NYumayo)

2 comments:

  1. Hi Bro!Juma
    thanx for the post, Bro! your blog is dormant please try to be update your blog. by doing that you will help us who are far away from hometown (songea) please bro!!!
    Its me your sister Schola Njozi

    ReplyDelete
  2. Scola Njozi hamjambo huko chuo. nadhani sasa mtafaidi mambo ya home na duniani keep on touch with jamii ya wanaruvuma blog. yours Juma Nyumayo

    ReplyDelete