Pages

Friday, September 17, 2010

JIONEE MWENYEWE MAMBO YALIVYO

Mama Lishe wa Manispaa ya Songea ambaye jina lake halikuweza kufahamika mala moja akimlisha chakula Mtoto wake.

Muuza samaki wa bichi kutoka Ziwa Nyasa akitembeza Samaki hao kwa nia ya kuboresha Lishe za wateja wake.


Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Eliza Mbena na Fatuma Lazaro wakivishana Vitambaa vya Chama Tawala CCM
Kijana akipata Chakula kutoka kwa mama Lishe katika eneo la Standi ya Mabasi katika Manispaa ya Songea





1 comment:

  1. Yaani nimejisikia nipo nyumbani kabisa Ahsante sana kwa taswira na hizo samaki zimenitoa utende mweeeh vyakula vya kunyumba.

    ReplyDelete